Full-Width Version (true/false)


RC Gambo awaongoza Wafanyakazi Arusha Mei MosiMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  leo amewaongoza maelfu ya wananchi mkoani humo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo shamra zake zilifanyika katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid.

Wafanyakazi wa serikali na makampuni mbalimbali binafsi walijumuika pamoja kusherehekea siku hiyo.

No comments

Powered by Blogger.