Full-Width Version (true/false)


RC Gambo na mzee Lowassa uso kwa uso

Leo May 18, 2018 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki dunia Jumapili iliyopita amezikwa leo wilayani Longido.

Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, moja ya viongozi waliohudhuria mazishi hayo ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Edward Lowasa pamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

No comments

Powered by Blogger.