Full-Width Version (true/false)


"Shiza mwanangu alifeli darasa la saba...,hata Yanga aende tu".-Mama yake Shiza KichuyaUnapozungumzi wachezaji wa klabu ya Simba huwezi kuacha kutaja jina la Shiza  Kichuya. 

Kichuya amekuwa mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha wekundu hao hadi kupelekea kuchukua ubingwa wa ligi msimu huu.

Mtilah Blog leo ilitembelea nyumbani alikozaliwa na kulelewa  nyota huyo  maeneo ya mafisa-mwembesongo  mjini Morogoro na kuzungumza na mama yake mdogo ambaye amemlea.

Fahamu kwamba mama yake mzazi kichuya alifariki mwaka 2001 wakati huo kichuya alikuwa mdogo sana.

Mama yake mdogo amezungumza mengi sana kuhusu safari ya soka ya kichuya.ameeleza kwamba kichuya alikuwa hazingatii masomo ya shule kwa sababu ya mpira kitu ambacho kilipelekea afeli kwenye mtihani wa darasa la saba.

zaidi angalia  interview hii hapa chini na mama yake

No comments

Powered by Blogger.