Full-Width Version (true/false)


Siwezi Kumruhusu Alikiba Kuoa Mke wa Pili – Amina

Mke wa Msanii wa bongo fleva Bi. Amina Ambaye ni mke alali na wandoa wa Alikiba amefunguka ya moyoni na kusema kuwa hayupo tayari mumewe kuoa mke wa pili hata kama ni waislamu na dini inaruhusu hadi wake  wanne.

Mwanamke huyo ameongea hayo wakati wa mahojiano na kipindi cha leo tena kinachorushwa na clouds media ambapo mwandishi alimuhoji kama yupo tayari mumewe kufuata suna ya mtume ya kuoa wake wa nne yeye alijibu hivi .

"Siwezi ila yakitokea mungu ndio amepanga" alisema Amina Mke wa Alikiba

No comments

Powered by Blogger.