Full-Width Version (true/false)


Taarifa kwa wadau wa mtilah Blog

  
;
Mtilah Blog inapenda kuwatoa hofu watumaji na wadau wote kuhusu utaratibu wa kusajiliwa  TCRA.

Tayari tumeanza mchakato wa kusajili blog hii  kwa ajili ya kupewa leseni ya uendeshaji .

Shukrani za pekee ziwafikiea wanachama wa kundi la whatsapp la "mtilah blog 1" kwa mchango mkubwa wa fedha  wanaoendela kuutoa katika kufanikisha zoezi hili la usajili. 

Kwa wale ambao mmedowload app ya mtilah blog endeleeni kusambaza upendo kwa watu wanaowazunguka kwa kuwapatia habari njema ya Mtilah Blog na huduma inayopatikana.
 

Tunahitaji mabalozi kwa ajili ya kuwajulisha watu wa karibu yao iwe kazini,shuleni n.k wajulishe huduma inayopatikana kupitia app ya Mtilah Blog na kuwahamasisha waidowload. zawadi, zitatolewa ikiwa pamoja na vocha,pesa taslimu ,Tshirt. nk. 

Mtu akishadowload app ipige picha kisha itume kwa whatsapp namba 0658303252.

wasiliana kwa namba hii 0658303252 kwa maelezo zaidi

Tunaamini mnafurahia huduma inayotolewa na Mtilah Blog.


No comments

Powered by Blogger.