Full-Width Version (true/false)


Taarifaa yaJeshi la Polisi kuhusu tukio la mwalimu St. Florence kuwanajisi wanafunziMay 30 2018 ilisambaa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa mwalimu mmoja aitwae Ayub wa shule ya St. Florence Dar es salaam iliyosemekana kuwa amefanya vitendo vya kingono na wanafunzi wake wa kike wanne wa darasa la saba .


Kamanda wa Polisi wa Kinondoni Jumanne Muliro leo May 31 2018 amezungumza na waandishi wa habari na kuthibisha kuwa hilo tukio limeripotiwa katika kituo cha Oysterbay na wazazi wa watoto hao na tayari wanalifanyia uchunguzi japokuwa hawajampata mtuhumiwa.

No comments

Powered by Blogger.