Full-Width Version (true/false)


“Tupo kwenye janga, tunaangamia” –James Mbatia
Mbunge wa Vunjo James Mbatia ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni May 2, 2018 ambapo aliwasilisha mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ambapo alieleza kwamba elimu ya Tanzania ipo hatarini na inaangamia kwa Serikali kushindwa kuboresha miundombinu ya kutosha katika sekta hiyo.

Kinga ni bora kuliko tiba, tumeamua kupitia Wizara yetu ya elimu kukumbatia ujinga ambao ndio umesababisha umasikini, maradhi, rushwa na mambo mengine. Imeandikwa kwamba watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa” –James Mbatia

Ukisoma kitabu cha darasa la pili unaambiwa unganisha sauti za herufi, tangu lini ukaunganisha sauti za herufi? Niliwahi kueleza katika bunge hili kuhusu makosa yaliyopo katika vitabu tunavyovitumia mashuleni” –James Mbatia

No comments

Powered by Blogger.