Full-Width Version (true/false)


VIDEO:Goli la yanga dhidi ya Mbao FC
Timu ya Yanga leo imeibuka na uhsindi wa goli 1-0 dhidi ya mbao fc kwenye mchezo wa kukamilisha ratiba ya ligi kuu uliochezwa katika uwaanja wa taifa.

Goli hilo la Yanga limefungwa na mchezaji Shaban kamusoko  kwa mkwaju wa adhabu alIolenga moja kwa moja golini.

licheki hapa  chini goli hilo 

NB:Kwa sasa unaweza kupata habari zetu zote sehemu moja kwa kupitia App yetu.pakua sasa kupitia play store kwa kubonyeza >>>HAPA

No comments

Powered by Blogger.