Full-Width Version (true/false)


VIDEO:Maneno ya kocha wa Mtibwa baada ya kuiadhibu Yanga ,"wanasema tungewafunga zaidi ya goli "nneKatika uwaanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana May 13,2018 kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga.

Mtibwa walifanikiwa kupata ushidi wa 1-0 goli lililofungwa na Hassan Dilunga. Baada ya mchezo Mtilah Blog ilipata nafasi ya kuzungumza na kocha wa Mtibwa Sugar,Zubery Katwila na haya kwenye video hapa chini ndiyo aliyozungumza.

No comments

Powered by Blogger.