Full-Width Version (true/false)


VIDEO:Wananchi walalamika kupewa muda mchache wa kujiandikisha vitambulisho vya urais

 


Wananchi wa kata ya Bima mjini Morogoro wameilalamikia serikali kwa kutenga muda mchache kwa wananchi wa kata hiyo kwenda kujiandikisha vitambulisho vya uraia.

Wakizungumza na Mtilah blog wananchi hao wameiomba serikali kuwaongezea muda kwa sababu watu wengi wamejitokeza kujiandikisha na muda wa wiki moja waliopewa hautoshi.

Angalia video hii hapa chini

No comments

Powered by Blogger.