Full-Width Version (true/false)


Vita ya kushuka daraja sasa imebaki kwa Ndanda na MajimajiBaada ya Ndanda Fc kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 leo dhidi ya mwadui Fc, ni dhahiri kwamba timu ya Njombe mji haina nafasi tena ya kushiriki ligi kuu msimu ujao.

Vita sasa imebaki kati ya Ndanda na Majimaji  timu ipi itaungana na Njombe mji kushuka daraja.Ndanda ina alama 26 ikiwa imebakiza mchezo mmoja dhidi ya Stand united wakati Majimaji ina alama 24 ikiwa imebakiza mchezo mmoja dhidi ya Simba.


Vita hiyo itaamuliwa  Mei 28 ,siku ambayo mechi hizo zote zitachezwa.

No comments

Powered by Blogger.