Full-Width Version (true/false)


Waandishi wamewasili Korea Kaskazini kushuhudia kubomolewa mitambo ya Nyuklia

Serikali ya Korea Kaskazini hii leo May 23, 2018 imepokea orodha ya waandishi wa habari kutoka Korea Kusini ambao wataruhusiwa kushuhudia mpango wa kufungwa kwa eneo la kufanya majaribio ya nyuklia.

Wizara ya Jumuiya ya Seoul imesema katika taarifa yake kwamba imetuma orodha ya waandishi wa habari nane wa Korea Kusini ambao watatembelea eneo la majaribio ya nyuklia ya Punggye-ri ambayo hatimaye litabomolewa.

No comments

Powered by Blogger.