Full-Width Version (true/false)


wakilishi wa Jimbo la Jang'ombe, Abdallah Diwani avuliwa uanachama wa CCMHalmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC),amemvua uanachama wa CCM kwa kosa la kukiuka maadili ya chama cha Mapinduzi Mwakilishi wa Jimbo la Jang’ombe visiwani Zanzibar, Abdallah Maulid Diwani 


Pamoja na mambo mengine, Mwakilishi wa Jimbo la Jang’ombe, Abdallah Maulid Diwani amefukuzwa uanachama kwa kwenda kinyume na maadili na miiko ya viongozi wa CCM.


“Kikao pia kimetoa karipio kwa Wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki, Fancy Nkuhi na Mariam Ussi Yahya kwa mwenendo usioridhisha, usiolinda maslahi ya nchi na unaokinzana na misingi na miiko ya uongozi na wamewekwa chini ya uangalizi wa kimaadili kwa miezi 18,” imesema taarifa hiyo ya Polepole.

 

No comments

Powered by Blogger.