Full-Width Version (true/false)


Watoto sita wafariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari TangaWATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kupinduka kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga.


Majeruhi katika ajali hiyo wamepelekwa hospitali ya Korogwe. taarifa kamili  itakuja hapo baadayeNo comments

Powered by Blogger.