Full-Width Version (true/false)


Watu wanavyopambana na joto PakistanKumeripotiwa kuwa na joto kali nchini Pakistan leo May 24, 2018 nakusogezea picha hzinaonyesha watu wakijaribu njia zote kupambana na hali ya joto katika mji wa bandari wa Karachi kusini mwa nchi hiyo.

Watu wasiopungua 65 wamefariki dunia kutokana na joto katika siku tatu zilizopita, hali ya hewa ya joto ikiongezeka hadi nyuzi 44.No comments

Powered by Blogger.