Full-Width Version (true/false)


Yanga imeanza kutafuta mrithi wa Donald Ngoma

Baada ya Azam fc kukamilisha kumsajili mchwzaji aliyekuwa akiitumikia klabu ya Yanga,Donald Ngoma klabu hiyo ya yanga  imeanza kutafuta mrithi atayechukua jezi namba 11 ambayo ilikuwa ikitumiwa na ngoma.
kupitia ukurasa  wa instagram wa Yanga imepostiwa jezi namba 11 kisha kuweka alama ya kuuliza sehemu ya jina 

Ngoma amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Azam fc

No comments

Powered by Blogger.