Full-Width Version (true/false)


Zaidi ya watu 50 wafamaji baada ya mtumbwi wao kuzama

Watu zaidi ya 50 waripotiwa kufariki na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya mtumbwi waliokuwa waksafiri nao kuzama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ajali hiyo imetokea  usiku ya Jumatano kuamkia Alkhamis katika mto Tshuapa Kaskazini -Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ajali hiyo imetokea Monkoto  kuelekea Mbandaka eneo ambalo kunapatika janga la virusi vya ebola tangu Mei 8. Watu 50 wameripotiwa kufariki katika jali hiyo. Taarifa kuhusu ajali hiyo imetolewa Ijumaa na  naibu gavana wa Tshuapa Richard Mboyo Iluka.

No comments

Powered by Blogger.