Zari atua Kenya
Hatimaye Zari The Bosslady ametua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya jioni hii.
Mrembo huyo ametua nchini humo kwaajili ya tamasha la Colour Purple
ambalo litafanyikaJumamosi hii ya Mei 12 kwenye viwanja vya Uhuru
Garden.
Hata hivyo watu wengi wanasubiri kama Zari atakamiziwa funguo ya gari
aina ya Sport ya mwaka 2017 kutoka kwa msanii wa Injili Ringtone Apoko
ambaye ameonekana kutamani kuwa na mrembo huyo.


No comments