Full-Width Version (true/false)


Faru mwingine auawa katika mazingira ya kutatanisha hifadhi ya Ngorongoro.
Kuna Taarifa ambazo zinatajwa kuhusu kuuwawa Kwa Faru mmoja Aliyekuwa anahifadhiwa Na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.

Taarifa kutoka chanzo cha uhakika wilayani humo zinasema kwamba siku ya alhamisi 31 may, 2018 askari wa mamlaka hiyo walivamia kijiji cha Bulati Kata ya Nainokanoka  kufanya msako  kwa wananchi wa kijiji hicho wanaodaiwa kumuua mnyama huyo,
baada ya msako huo wananchi walitoa ngozi waliyokuwa wameificha.

Inasemekana kwamba Faru huyo alitoroka hifadhini na kuelekea katika kijiji hicho na
  
Ikumbukwe kua wanyama hao wamefungwa "GPRS devices" ambazo sinasaidia kwenye ulinzi dhidi ya majangili.

No comments

Powered by Blogger.