Full-Width Version (true/false)


Kikosi cha Simba dhidi ya Gormahia faina ya Sportpesa

  
Michuano ya sportpesa inayoendelea kule nchini kenya inahitimishwa leo kwa mchezo wa FAINALI kati ya Simba dhidi ya Gormahia.

Bingwa wa michuano hiyo atapata nafasi ya kwenda nchini Uingereza kucheza na timu yaa Everton.

Hapa chini ni kikosi cha simba kilichopangwa na kocha Masoud Djuma  kwenye mchezo huo wa fainali hivi leo.
 
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Yusuf Mlipili
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Muzamiru Yassin
9. Mohammed Rashid
10. Rashid Juma
11. Adam Salamba

AKIBA:
Ally Salim
Shomari Ally
Mohammed Hussein
Marcel Kaheza
Moses Kitandu

No comments

Powered by Blogger.