Full-Width Version (true/false)


Kikosi cha yanga kwenye mechi ya ufunguzi sportpesa super cupMichuano ya sportpesa super cup 2018 inaanza kutimua vumbi  leo june 03,2018 kule nchini Kenya ambapo mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya Yanga dhidi ya KK Home Boys . mechi itaanza saa 7:00 mchana

Na hiki ndicho kikosi cha yanga kilichopangwa kwa ajili ya mechi hiyo

1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Abdalah Shaibu
5. Said Juma
6. Maka Edward
7. Juma Mahadhi
8. Papy Tshishimbi
9. Matheo Antony
10. Pius Buswita
11. Baruan Akilimali

Kikosi cha akiba 

12. Ramadhan Kabwili

13. Pato Ngonyani

14. Raphael Daudi

15. Thaban Kamusoko

16. Said Mussa

17. Yusuph Mhilu

18. Ibrahim Ajibu

19. Yohana Mkomola

18. Amis Tambwe

No comments

Powered by Blogger.