Full-Width Version (true/false)


Kitaifa » SIMBA HAWA HAPA, WAMEANZA KAZI WAKITAKA KUBADILI MAMBO KENYA KATIKA SPORTPESA SUPER CUP
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wameanza mazoezi mjini hapa.


Simba wako hapa kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup na wataanza kazi Jumatatu kwa kuwavaa Sharks.


Simba wamewasili hapa jana wakiwa ndiyo timu ya kwanza ya Tanzania kutua Kenya kwa ajili ya michuano hiyo.


Mwaka jana ilifanyika Tanzania na Gor Mahia wakaibuka mabingwa huku timu za Kenya zikikutana katika fainali.


No comments

Powered by Blogger.