Full-Width Version (true/false)


LIVE:Mechi ya nusu fainali sportpesa super cup simba dhidi ya Kakamega Homeboys

leo nusu fainal ya sportpesa super cup itaendelea huko Kenya. Simba inakipiga dhidi ya Kakamega homeboys ambayo iliwatoa yanga kwa kipigo cha 3-1. 

Simba inacheza nusu fainali baada ya kuigaragaza Kariobangi Sharks kwenye mikwaju ya penati 3-2.

ifuatilie mechi hiyo live kwenye video hii hapa chinio

No comments

Powered by Blogger.