Full-Width Version (true/false)


Mama Hamisa avunja ukimya “Tumbo la uzazi linaniuma msimdhalilishe Hamisa”

Mama wa Model maarufu Hamisa Mobetto ameamua kuvunja ukimya na kuandika kuhusu wale wanao mtukana mwanae kwenye mitandao ya kijamii ambapo amesema waache kumtukana na kumdhalilisha kwani wamesababisha yeye kuumwa na Tumbo la uzazi.

Mama Hamissa ameamua kuyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema..>>>

Mmenitukania Mwanangu hadi Tumbo la Uzazi limeniuma 😔😔 , natamani ningewazaa wawili ili Ajifariji kwa mwenzie. 

“Pia ningeomba familia zote zilizopo Instagram , Mpunguzieni matusi na kumdharilisha Mwanangu , kama kawakosea ninamwombea Msamaha mwezi huu mtukufu . .

Mpeni Amani ili na mimi nifurahie furaha ya Uzazi wangu . Ni mwenyezi Mungu pekee huchagua barabara atakayopitia Mwanaadamu.” – Mama Hamissa
No comments

Powered by Blogger.