Full-Width Version (true/false)


Mange Kimambi amshauri Hamisa 

Hamisa Mobetto hivi karibuni amekuwa akipatwa na misukosuko ya kupokea kutoka kwa familia ya Diamond pamoja na mashabiki wanaojiita timu Zari,Wema na Lulu, kwa kitendo cha kudaiwa yeye ndio sababu ya Zari na Diamond kuachana. 

Mrembo huyo Hamisa amejikuta akishambuliwa mitandao ya kijamii, na kudaiwa kwanini amekubali kuzaa na Diamond wakati akijua yupo na Zari. 

Mange Kimambi ni mwanadada anayeishi Marekani, ambaye pia ni mwanaharakati kupitia mitandao ya kijamii, ameandika ushauri kwa Hamisa katika ukurasa wake wa Instagram na kumwambia Hamisa kuwa ni kweli Diamond anampenda sana yeye, lakini akumbuke Diamond hawezi kuishi bila kuwa na kiki ya biashara na kiki yake iko kwa Zari. Hivyo haiwezekana Babu Tale kwenda Afrika Kusini bila kutumwa na Diamond mwenyewe, soma alivyoandika Mange Kimambi “Mamii let it go, mi nakushauri tu. 

All this drama hata kama ni kwa ajili ya reality show but still it’s unacceptable. Kama nilivyokuwaga namwambia aBi Tukinao asepe same way nakwambia na wewe usepe. He is disrespecting you the same way he was disrespecting Zari. Secondly, BabuTale asingeenda SA kama Dai hajamtuma.  

Kuna kitu kimoja nimekiona kwenye hii drama yoooote. Moyoni Diamond anampenda Hamisa. Yani roho yake iko kwa huyu mwanamke ila Zari ndio mwanamke anaemfaa kibiashara. Na Diamond bila kiki hana raha ya maisha. 

Ndo maana siku zote alikuwaga anarudi kwa nyumbu ni sababu ya kiki. Na sasa atakuwa anarudi kwa Zari all the time sababu ya kiki. Nimesema hayo sababu angempenda Zari angeomba msahama kwa Zari long time ila hata kuuliza Zari hakumuuliza, yani ni kama alikuwa anasubiria sababu ya kurudi kwa Hamisa. Ila kakaa na Hamisa miezi kadhaa kaona kiki zinapungua bila Zari na mashabiki wake kawagawa. So if you ask me Diamond kachagua Success over Love. And I can’t blame him, many of us would choose our careers over love. . @hamisamobetto Mama.Utazeeka hata miaka 30 huna ukiendelea kudili na hii familia. Embu ishi kwa amani. 

Hakikisha tu anaendelea kukupa mahela na kukuendeleza kibiashara, hayo mengine waachie kina Bi Sandra. Kesho Dai nae anaenda S.A. Jamani tupumzisheni na drama 😂😂 ***Ameandika @mangekimambi_ Katika ukurasa wake wa Instagram

No comments

Powered by Blogger.