Full-Width Version (true/false)


Maskini Yanga,kucheza mechi moja tu imeondolewa michuano ya Sportpesa

 

Mapema kabisa Klabu ya Yanga imeondoshwa kwenye michuano ya sportpesa super cup iliyoanza kutimua vumbi leo kule nchini Kenya baada ya kufungwa goli 3-1 dhidi ya KK.Homeboys  ikiwa ndiyo mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo.Yanga imekuwa timu ya kwanza kuyaaga mashindano hayo ambayo jumla ya timu nane zinazodhaminiwa na sportpesa zinashiriki,nne kutoka Tanzania na nne kutoka Kenya.Timu  ikipoteza mchezo inaaga mashindano hayo.Mtani wao Simba ana kibarua kesho dhidi ya K .Sharks

No comments

Powered by Blogger.