Full-Width Version (true/false)


Mchezaji kulipwa 150,000 kila mechi Ndondo Cup

 

Mabibo Market kupitia kwa kiongozi wake imeweka wazi kiasi ambacho atalipwa kila mchezaji kwa kila mechi atakayocheza kwenye mashindano ya Ndondo Cup msimu huu.

Naomi Kibago ambaye ni mweka hazina wa Mabibo Market amesema, msimu huu wa Ndondo Cup wamejipanga kulipa ‘kilo na nusu’ kila mchezaji kwa mechi moja.

“Mapato yanaendelea vizuri kama unavyojua hapa sokoni wafanyabiashara wapo wengi hawasumbui kwenye michango kwa hiyo hela ipo.”

“Kila mchezaji atakaechezea Mabibo Market msimu huu tutamlipa Tsh. 150,000 kwa kila mechi na inaweza kupanda zaidi ya hapo.”

shaffih dauda

No comments

Powered by Blogger.