Full-Width Version (true/false)


Mkuchika kula sahani moja na wanaokwamisha mafao

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora, George Mkuchika amewatahadharisha waajiri wote wanaochelewesha wastaafu kupata mafao yao.
Mkuchika amesema hayo Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na mwandishi wetu ambapo amesema kuwa hatua kali dhidi ya waajiri hao zitachuliwa.
“Watu kama hawa wanaochelewesha mafao ya wastaafu watachukuliwa hatua kali kwasababu kuna baadhi ya wastaafu hawaelewi utaratibu wa kufuatilia stahiki zao,” amesema Mkuchika

No comments

Powered by Blogger.