Full-Width Version (true/false)


Mtangazaji Mkubwa wa Marekani wa "The Ellen Show" Aitembelea Tanzania


Mtangazaji wa Talk show kubwa nchini marekani anayefahamika kama Ellen DeGeneres ambaye amejipatia umaarufu kutokana na kipindi chake kuwa na mvuto zaidi kwa sababu ya maudhui yake yalivyokuwa yakihusisha mastaa mbalimbali, Utani na hata baadhi ya story zinazowavutia zaidi mashabiki.

Sasa Good news ni kwamba star huyo wa Marekani yupo Tanzania na hiyo imejulikana baada ya kuonekana akiwa mbuga za wanyama na mpenzi wake Portia Derossi ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram akionesha kuwa yupo bongo na kuandikamaneno haya….


”Coffee break. #tanzania @theellenshow @mlorentz23 @pjfaulstick @cliffspot @_honeybuck_” – Portia Derossi
Huwenda hii ikawa ni taarifa nzuri haswa kwenye kukuza utalii wa ndani na tukashuhudia list ya mastaa wa kubwa kuja Tanzania ikazidi kuongezeka kutokana na star huyo mkubwa ambaye ameshawai kuhoji mastaa wengine wakubwa Duniani kuja Bongo.

No comments

Powered by Blogger.