Full-Width Version (true/false)


Nigeria yatikisa komba la Dunia kwa pamba kaliKwa mara nyingine, timu ya taifa ya Nigeria imeliteka Kombe la Dunia kwa mtindo yao ya mavazi wakati walipowasili Russia leo. 

Wamejitegenezea jina wao wenyewe kuwa ni timu inayopaswa kutazamwa katika fainali hizi za Russia, siyo kwa sababu ya soka lao ila kwa mitindo yao ya mavazi inayovutia. 

Kwanza waliwateka watu walipotangaza jezi yao na sasa mavazi yao waliovaa wakati wa kusafiri kila mmoja anayazungumzia. 

Wamemaliza kabisa baada ya kupiga picha wakiwa na mavazi yao ya hasili Buba na Sokoto wakati walipokuwa uwanja wa ndege tayari kwa safari ya Russia. Nahodha John Obi Mikel aliandika katika ukurasa wake wa Instagram: 'Russia tunakuja'

No comments

Powered by Blogger.