Full-Width Version (true/false)


Nyota wa Zamani wa Everton, Yakubu atoa vifaa kwa timu ya watoto kenya

Nyota wa zamani wa Everton, Yakubu Aiyegbeni amekabidhi vifaa kwa timu mbalimbali za watoto mjini hapa.

Kupitia programu ya Kits For Africa, Yakubu ambaye pia alikuwa nyota wa timu ya taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, alikabidhi vifaa hivyo mjini hapa na baadaye kuungana na makocha walioletwa na Everton mjini hapa, kutoa mafunzo.


Everton inayoshiriki Ligi Kuu England inadhaminiwa na kampuni maarufu zaidi ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.


No comments

Powered by Blogger.