Full-Width Version (true/false)


Picha: Muonekano wa dimba la Sheikh Amri Abeid hii leo kabla fainali ya Singida United Vs Mtibwa Sugar 
Ni majira ya asubuhi dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha likionekana kuwa na shukhuli za hapa na pale kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Singida United dhidi ya Mtibwa Sugar.Mchezo huo unao tarajiwa kuanza majira ya saa 9:00 mchana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karuta , Arusha utatoa mshindi atakae kwenda kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afika.Singida United inashuka dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa jumla ya mabao 3 – 0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara katika msimu uliomalizika hivi karibuni.


No comments

Powered by Blogger.