Full-Width Version (true/false)


Picha: Spika Ndugai akutana na Bodi ya wadhamini wa UDOM

Spika wa Bunge, Job Ndugai amekutana na kuzungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi Ami Mpungwe walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (katikati) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Egid Mubofu walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma
Tazama Picha zaidi:

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe kutoka Bodi ya wadhamini ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wajumbe hao waliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Ami Mpungwe (wa tatu kushoto).

No comments

Powered by Blogger.