Full-Width Version (true/false)


PICHA:maandalizi ya jeneza na kaburi watakapozikwa Maria na Consolata
Mafundi wa Kampuni ya Mandela wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho ya utengenezaji wa jeneza litakalotumika kuwazikia mapacha walioungana Maria na Consolata katika eneo la Sido Manispaa ya Iringa. 

Mazishi ya mapacha hao yanatarajjwa kufanyika kesho Jumatano  kwenye makaburi ya Masista Tosamaganga mkoani Iringa.
 

No comments

Powered by Blogger.