Full-Width Version (true/false)


Picha:Ziara ya mwenyekiti wa UVCCM mkoani Simiyu

 
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ,Kheri D. James leo ameendelea na ziara yake ya siku ya tatu Mkoani Simiyu katika wilaya ya Itilima.

Katika ziara hiyo jana amekagua miradi inayoendeshwa na Vijana na Kukagua Utekelezaji wa  Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).No comments

Powered by Blogger.