Full-Width Version (true/false)


Raheem Sterling awaomba radhi wachezaji wa kikosi cha UingerezaMshambuliaji wa klabu ya Manchester City, Raheem Sterling amewaomba radhi wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Uingereza kwa kitendo cha kuchelewa kujiunga na kikosi kwenye mazoezi yanayo endelea kwaajili ya michuano ya kombe la Dunia mwaka huu nchini Urusi.

Sterling alitarajiwa kujiunga na kikosi cha timu hiyo ya Uingerea siku ya Jumanne majira ya asubuhi na badala yake akawasili Jumatano.


Baada ya kuchora ‘tattoo’ ya M16 siku ya Jumapili mshambuliaji huyo anategemewa kuwepo kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano ya kombe la dunia baada ya kuikabili Nigeria wa maandalizi.

No comments

Powered by Blogger.