Full-Width Version (true/false)


Ridhwan Kikwete Amlilia Sam wa Ukweli

Mbunge wa Chalinze Ridhwan Kikwete amezipata taarifa za kifo cha hitmaker wa ‘Hata kwetu wapo’ Sam wa Ukweli na ameamua kuandika katika ukurasa wake wa Twitter.


Ridhwan ameandika “Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa mapenzi yake kwetu Binadamu na hasa kwako rafiki yangu Sam “Mwana Wa Ukae, Mzukulu wa Mwali Bonele Wa Kiwangwa”.Tangulia Rafiki Yangu, Pumzika kwa Amani Sam Wa Ukweli.”

No comments

Powered by Blogger.