Full-Width Version (true/false)


Rommy Akataa Kusimamamiwa na Wasafi, Siwezi Kusimamiwa na Mdogo WanguDj maarufu kutoka kundi laWCB, Rommy Jones amefunguka na kusema kuwa pamja na kwamba hata yeye anatokea katika kundi la wcb, lakini hii haimaanishi kuwa hata yeye  atasimamiwa na Wcb , watu wajue klwamba yeye anajisimamia mwenyewe na project zake.

Ingawa watu wengi walitegemea kuwa kutokana na ukweli kwamba Rommy yuko WCB na WCB imekuwa na wasanii wengi wanaofanya kazi chini ya lebel hiyo basi hata yeye na project zake za muziki itakuwa chini ya wcb lakini kumbe sio.

pale unajua mimi ni vice president na kuna record lebel ambayo ni WCB,  na inawasanii wengine tu kama kina Mbosso, Harmonize , Lavalava na Rich Mavoko ila mimi siko chini ya Wcb, kwa project zangu zote ninafanya kwa kujisimamaia mwenyewe wala sio WCB,

No comments

Powered by Blogger.