Full-Width Version (true/false)


Sheikhe alalamika serikali kuwanyanyasa waislamu,afunguka mazito
Mwanahistori mkongwe nchini ambaye ameandika vitabu kadhaaa vya histori ameituhumu serikali ya tanzania kuwanyanyasa waislamu.


Katika mahojiano maalumu baada ya muhadhara alioufanya katika Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro,Mohamed ameeleza kwamba waislamu wametoa mchango mkubwa katika kufanikisha Tanganyika inapata uhuru lakini wanadhulumiwa.


Katika vipengele ambavyo amevitaja waislamu wanadhulumiwa ni katika uteuzi wa viongozi,ameituhumu serikali kuteua waislamu wachache katika kujazaa nafasi za uongozi licha ya idadi yao kuwa wengi.Msikilize kwenye hii video hapa chini

No comments

Powered by Blogger.