Full-Width Version (true/false)


Shein Akutana na Kufanya Mazungumzo na Vyama vya Upinzani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na viongozi wa Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) katika picha ya pamoja na Vyama vya Upinzani baada ya mkutano wa pamoja wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba, wakati wa Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments

Powered by Blogger.