Full-Width Version (true/false)


Simba yaingia nusu fainali michuano ya Sportpesa

Timu ya Simba imefanikiwa kuingia kwenye hatua ya nusu fainali ya michuano ya Sportpesa super cup baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Kariobangi Sharks..Simba imepata ushindi huo kwa njia ya mikwaju ya penaiti 3-2 baada ya dakika 90  kumalizika kwa sare ya bila kufungana.Hapo jana timu mbili za Tanzani, Yanga na JKU ziliondolewa kwenye michuano hiyo .Simba itacheza nusu fainali juni 7 na mshindina kk.homeboys.


Timu nyingine ya Tanzania iliyobaki katika mashindano hayo ni  Singida United ambayo ina kubarua kesho dhidi ya AFC Leopards.

No comments

Powered by Blogger.