Full-Width Version (true/false)


Simba yatinga fainali kwa kuwafunga wababe wa Yanga

Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali  michuno ya sportpesa super cup baada ya kuiondoa Kakamega Homeboys kwa njia ya penaiti kwenye mchezo wa nusu fainali.

Dakika 90 za mchezo huo  zilimalizka kwa sare ya bila kufungana na baadae kupiga mikwaju hiyo ambayo simba ilifainikiwa kufunga mikwaju yote  mitano huku kamaega homeboys wakikosa mkwaju mmoja kati ya mitano (5-4).Kumbuka kwamba Kakamega Homeboys ndiyo timu iliyomwondoa mapema yanga kwenye michuaano hiyo baada ya kuwafunga  magoli 3-1 katika mchezo wa ufunguzi.

Simba  itacheza fainali na mshindi wa mchezo nusu fainali ya pili kati ya Singida united na Gormahia utakaochezwa hapo baadae.

No comments

Powered by Blogger.