Full-Width Version (true/false)


Steve Nyerere Aonyesha Hisia Zake Juu ya Kamati Mpya Yanga "Tunataka Pesa Sio Maneno"


Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanachama wa Yanga, Steve Nyerere Jumapili hii ameibuka na kueleza hisia zake juu ya kamati mpya za Yanga zilizochaguliwa katika Mkutano Mkuu uliofanyika siku ya jana. Wanachama wengi wa Yanga wanaoneka kumuitaji mbwana Yusuph Manji ambaye alijuzulu nafasi ya uenyekiti mapema mwaka baada ya klabu hiyo kukubwa na ukata mkubwa.

"Tumepokea vizuri kuhusu Manji kurudi yanga kwakuwa Timu yetu Imesheki kama wanachama tulikua tunajiskia vibaya timu inaingia inapigwa na tulikata tamaa kuishabikia timu yetu adi ikafika hatua tuliona huu mwaka si wetu ila tunafurahi manji aweze kurudi kutuokoa aweze kuweka usajili mzuri" alisema steve Nyerere.

No comments

Powered by Blogger.