Full-Width Version (true/false)


TANZIA: Mapacha walioungana , Maria na Consolata wamefariki duniaTaarifa  za kusikitisha tulizozipata hivi punde zinasema Maria na Consolata ambao ni mapacha walioungana wamefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Iringa.

Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za wapendwa wetu mahali pema peponi.

Taarifa zaidi endelea kufuatilia mtilah blog

No comments

Powered by Blogger.