Full-Width Version (true/false)


TANZIA:msanii Sama wa Ukweli afariki Dunia

Mwanamuziki wa Bongo Fleva "SAM WA UKWELI" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo June 7 katika Hospitali ya Palestina "Sinza" jijini Dar es salammwili wa marehemu umehamishiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.SAM WA UKWELI ni msanii aliyewahi kutamba Sana na ngoma kama Sina Raha na nyingine kibao .
Inna lillahi wa inna ilaihi rajioon 

No comments

Powered by Blogger.