Full-Width Version (true/false)


“Tumefungwa kihalali”-Haji Manara

 


Klabu ya Simba imefungwa goli 2-0 dhidi ya Gormahia kwenye mchezo wa fainali wa michuano ya Sportpesa.

Kufuatia  matokeo hayo ,msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ameeleza kwamba timu yake imefungwa kihalali.


"jitihada hazizidi kudra..tumefungwa kihalali na team bora..asanteni our fans...hongera Gor Mahia @official_gmfc ..tunawashukuru @tzsportpesa pia.. 🙏🙏" ameandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa instagram.

No comments

Powered by Blogger.