Full-Width Version (true/false)


Wanaopiga Simu za Uongo Fire Kukiona


Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Arusha Kennedy Komba ametoa angalizo kwa wateja wanaopiga simu za bure katika jeshi hilo wakiwa hawana tatizo lolote kuwa wataanza kuchukuliwa hatua ikiwemo kupelekwa mahakamani kwa kuwa wanatenda kosa la jinai.

Komba pamoja na mambo mengine amesema wajenzi waa majengo katika maeneo mbalimbali wanatakiwa kuwasiliana na jeshi hilo ili kupata ushauri wa jinsi gani wanaweza kutengeneza miundombinu imara ya kukabiliana na majanga ya moto.

No comments

Powered by Blogger.