Full-Width Version (true/false)


Wizara ya Fedha yaliomba Bunge Sh12 trilioni

  

Wizara ya Fedha na Mipango imeliomba Bunge kuidhinishiwa Sh12.06 trilioni katika mwaka wa fedha 2018/19. 

Akiwasilisha bajeti yake bungeni leo, Juni 4, 2018, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kati ya fedha hizo Sh10.76 trilioni ni kwa ajili ya matumizi wa kawaida. 

Amesema kati ya hizo, Sh10.76 trilioni ni za malipo ya deni la Taifa na huduma nyingine ni Sh10.0 trilioni huku mishahara ikiombewa Sh65.76 bilioni na matumizi mengineyo ni Sh693.26 bilioni.

No comments

Powered by Blogger.