Full-Width Version (true/false)


Zamaradi Ajifungua Mtoto wa Kiume

Mtangazaji maarufu wa TV, Zamaradi Mketema ambaye pia ni mdau mkubwa katika tasnia ya Bongo movie ametangaza habari njema  usiku kuamkia leo baada ya kujifungua mtoto wake jioni ya jana.

Zamaradi amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa tatu ambaye ni wa kiume lakini huyu atakuwa mtoto wake wa kwanza na mume wake Shabani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram haya ndo maneno aliyoyatupia ”

Asante MUNGU kwa zawadi hii

Its a BOY Alhamdulillah!!😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿

No comments

Powered by Blogger.