Full-Width Version (true/false)


Ajali ya gari yaua na kujeruhi Babati usiku wa kuamkia leo.Watu wawili wanadhaniwa kufariki dunia na wawili kujeruhiwa vibaya baada ya Malori mawili kugongana usiku wa akuamkia le july 18 katika eneo la Logia Mjini Babati Mkoani Manyara.Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa Dereva wa Gari ya Halmashauri alikuwa akijaribu kulipita Lori lililokuwa mbele yake ndipo alipofeli na kugonga kwa nyuma na kupelea vifo hivyo.


Majeruhi wamelazwa katika Hospitali ya Dareda Mission kwa matibabu, Eneo lilipotokea ajali licha ya kuwekwa tahadhari kutokana na miteremko na kona kali lakini bado madereva hawazingatii alama hizo.

No comments

Powered by Blogger.